Bro, Usiingie mtego huu

Mwanamke kama hajakupenda hawezi kukutii, labda kama anakunafikia akitegeshea jambo fulani

Kwa kifupi nikwamba.....
Mapenzi huzaa heshima, na heshima huzaa utii. Mwanamke akipendwa vizuri, kumtii mwanaume wake inakuja yenyewe bila kulazimishwa.
 
Kataa omba omba mwanamke ambaye hakupi dhamani yoyote, yeye kazi yake ni kuomba omba tu wa kazi gani ?

Baba yake kashindwa kumfanya mwanamke wa dhamani wewe utaweza vipi?
Binafsi pia sitaki mtu masikini, umasikini nilionao unatosha mzee! Ili nipambane na generation yangu inayofuata ikae sawa, masikini simtaki.
 
Binafsi pia sitaki mtu masikini, umasikini nilionao unatosha mzee! Ili nipambane na generation yangu inayofuata ikae sawa, masikini simtaki.
Sure, mwanamke ambae hawezi hata kuninunulia bia moja tu siwezi kuwa naye ,wa hivyo sasa naweza ongea nae nini kingine zaidi ya kutombna?
 
Yeyote anaweza kukufanya vyovyote na maisha hayatabiriki Wala hakuna betting!

WEWE ishi kipande ulichopewa,fanya paper lako kama utafaulu au kufeli aliekuumba anajua!

Kugongwa na gongwa yeyote anaetaka kugongwa na n.k

Ishi kipande chako,maisha ni kipande kitafune ulichopewa!
 
Huduma ni kitu cha kawaida, tatizo linapokuja pesa ya mwanamke sio Yako ,pesa anayo na huduma unatoa
 
Japo ninazo pesa zangu ila nina alegi kali na wanawake wasio na pesa, mwanamke asiye na pesa nimpeleke wapi sasa?


Maisha ni kusaidiana ,sasa omba omba tu ana mchango gani hata kwenye hii dunia?
Sijajua umri wa mtoa mada, tabia ya mtu ni tabia tu hua haibadiliki, Kuna jamaa kaoa demu mbaya hana shepu hana sura masikini huyo dada anavompelekesha mwana, Yani mpaka namuonea huruma, ukimpata demu mzuri alafu ana pesa oa mzeer mbele kwa mbele, JICHANGANYE uoe demu mbaya eti yumo ndani ya uwezo wako utajuta mkuu acha beba aliekupenda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…