BR Stationary
Member
- Oct 7, 2026
- 5
- 10
Swadakta wanawake wenye pesa wakaolewe na TAJIRI MKUU WA MATAJIRIBroh, Usiingie mtego wa kuoa au kumzalisha mwanamke sababu ana pesa ,Kazi nzuri au ana elimu kubwa.
Unajua kwa nini, Mwanaume kaumbwa kutawala hawo watataka kukutawala ,Mwanzoni atakupa vijipesa ,ata kusaport biashara na issue uko mbele misaada itakata, atataka na wewe uanze kumuhudimia ndo kimbembe kitaanza apo.
Hilo ndo anguko lako utakosa watoto ,mali na utaharibu mwelekeo wa Maisha Yako.
Tafuta mwanamke aliyendani ya uwezo wako ambaye wewe unamuona si type yako huyu ndo mke zalisha ,Mweke nyumbani ,Mfungulie biashara ndogo ndogo afanye.
Msiofuga wanawake ndo kila siku mnakuja na Uzi wa kugongewaBado una mawazo ya kijima ya kufuga mwanamke?
Kugongewa hawara siyo story na hakuumi kama mkeMsiofuga wanawake ndo kila siku mnakuja na Uzi wa kugongewa
Hili ndio Pai(π) inatakiwa kutumika kwenye formula ya kuoaOA MWANAMKE ANAYEKUPENDA
Hapana mkuu...OA MWANAMKE ANAYEKUPENDA
Kinachomuongoza mwanamke mwenye pesa si pesa zako ni uwezo wa akili, na mwenye akili ni suala la muda tu akiwa na access ya mtaji kidogo tu anatajirika.Broh, Usiingie mtego wa kuoa au kumzalisha mwanamke sababu ana pesa ,Kazi nzuri au ana elimu kubwa.
Unajua kwa nini, Mwanaume kaumbwa kutawala hawo watataka kukutawala ,Mwanzoni atakupa vijipesa ,ata kusaport biashara na issue uko mbele misaada itakata, atataka na wewe uanze kumuhudimia ndo kimbembe kitaanza apo.
Hilo ndo anguko lako utakosa watoto ,mali na utaharibu mwelekeo wa Maisha Yako.
Tafuta mwanamke aliyendani ya uwezo wako ambaye wewe unamuona si type yako huyu ndo mke zalisha ,Mweke nyumbani ,Mfungulie biashara ndogo ndogo afanye.
Obvious anayekupenda atakutiiHapana mkuu...
Oa mwanamke anaekutii, then wewe mwanaume ndio umpende.
Mwanamke kama hajakupenda hawezi kukutii, labda kama anakunafikia akitegeshea jambo fulaniHapana mkuu...
Oa mwanamke anaekutii, then wewe mwanaume ndio umpende.
Nyie ndio mnafuga wavivu kwenye hii duniaHakuna anayetaka kuishi na masikini, sio mwanaume wala mwanamke. Utahudumia yeye, utahudumia wazazi wake, utahudumia hadi ndugu zake.
Badala ya kukua kiuchumi unadumaa tu maana umekuwa NGO. Halafu baadae wanakusema maana kimsingi hutakuwa na maendeleo.
Kwa nini mangi?Nyie ndio mnafuga wavivu kwenye hii dunia
Kataa omba omba mwanamke ambaye hakupi dhamani yoyote, yeye kazi yake ni kuomba omba tu wa kazi gani ?Kwa nini mangi?
Tatizo mnapenda kuoa maawala,na makahaba.lazma mgongewe maana hawakubali kukaa nyumbanKugongewa hawara siyo story na hakuumi kama mke