Wenzetu wajanja sana,Former Prime Ministers, David Cameron: Honda CR-V
![]()
Former Secretary of State for Foreign and Commonwealth Affairs and Mayor of London: Toyota Previa.
![]()
![]()
![]()
Sio kweli.Hao wasanii tu, gari zao za kazi ni Jaguar au Range Rover
Unamfamu John two jags?Sio kweli.
Mfano UK, ukiondo familia ya kifalme na mawaziri ambao inabidi wapewe magari kutoka na usiri unaotakiwa kwenye kazi na security. Na pia vile vile magari wanaopewa ni british brands ambayo ni part ya kuyakuza hayo makampuni. Range Rover wamekuwa wana supply magari kwa kwenye familia ya kifalme miaka mingi na nina dhani ni bure.
Viongozi wengine wote wanatumia baiskeli, mabasi au treni kwenda kazini!
Ni washamba na malimbukeni
Nipo mkuuDah umeibuka tena kisa tu mada za magari. Ulipoteaga wapi?
John Prescott alikuwa na Jaguar yake binafsi alipokuwa Deputy Prime minister akapewa nyingine na UK government. Ndio akapewa jina la “Two Jags” lilimfanya kuwa famous. Kwa sababu sio kitu cha kawaida kiongozi wa serikali kumiliki magari mawili ya kifahari!Unamfamu John two jags?
NEWS: JOHN PRESCOTT DOWNSIZES FROM TWO JAGS TO ONE
Former deputy prime minister John Prescott, for years known as Two Jags, is selling one of his cars, a Jaguar XJS, to help save the planet.
Tony Blair’s former deputy became known as Two Jags when he was provided with a ministerial Jaguar to go with the one he already owned.
[\QUOTE]
![]()