Na kinachofanya Tanzania utawala wa sheria kushindikana ni pale ambapo sheria hizo zinaonekana kuwa applied selectively.
Kaka hakuna nia ya dhati ya utawala bora yenye accountability na transparent, maana watu wa kwanza waliotakiwa ku-instill hiyo discipline ndio wao wanakuwa wa kwanza kuvunja hiyo principle. Ni sawa kumkabidhi ngedere shamba la mahindi mateke eti alilinde! ndio maana watawala wanashiriki kuibia wananchi kwa njia mbalimbali bila haya wala soni.
Following the sentence, a Labour Party spokesperson said: 'David Chaytor had already been suspended from the Labour Party and following his custodial sentence he has now been excluded from the party.'
Ona kama hapo juu, jamaa tayari walikuwa wamesham-suspend hata kabla ya hukumu na sasa wamemfukuza, lakini akina Mramba wanaachwa mpaka wanagombea na ubunge!!!