meningitis
JF-Expert Member
- Nov 17, 2010
- 8,349
- 4,674
ratio ilikuwa 1:25000.Waseme na hizo ratio zilikuwa ngapi kabla ya Kikwete na baada ya miaka ya uwepo wake. Nakuhakikishia hawawezi.
Na masikio mkuu, juzi nilikutana na jamaa mmoja kasema nchini kwao wanahitaji sana madaktari watafanya internship na kuwa absorbed kwenye serikali yao ni huku huku East Africa kwetu
Waseme na hizo ratio zilikuwa ngapi kabla ya Kikwete na baada ya miaka ya uwepo wake. Nakuhakikishia hawawezi.
ratio ilikuwa 1:25000.
Leo umejikaanga kwa mafuta yako! kwi kwi kwi!
Pengo limeongezeka wakati wa jk.na linaelekea kuwa baya zaidi baada ya jk kushindwa kutatua mgogoro huu pamoja na kutumia vyombo vyote vya dola!
katika hii kauli pia nimekuwa na wasiwasi na serikali maana mianya ya hawa wenzetu kupata 'kitu kidogo' ni finyu japo kazi zao ni more practical ukilinganisha na kada nyingine.Junior doctors in state hospitals have been involved in a series of strikes since last January. The government has dismissed doctors demands that their salaries be tripledfrom 950000 Tanzanian shillings (£390; 490; $620) a month to 3.5 million shillingsand has offered a maximum of 1.2 million shillings, noting that doctors already earn double the average salary of other public sector workers.
Kwamba kazi zao ni more prectical kuliko kazi nyingine hapo ndipo sikubaliani nanyi.....kama tayari mshahara wao ni mara 2 ya kada nyingine nyingi tu.katika hii kauli pia nimekuwa na wasiwasi na serikali maana mianya ya hawa wenzetu kupata 'kitu kidogo' ni finyu japo kazi zao ni more practical ukilinganisha na kada nyingine. Lakini pia tukumbuke kuwa mwaka 2005 USD $1 = Tsh.650/- na kilo moja ya mchele ilikuwa Tsh. 400/- bila kutaja vitu vingine. Waliobuni hizi siasa wameweka mipaka zisiingie mpaka baadhi ya maeneo mojawapo likiwa hili la madaktari, lakini sisi tulioiga tumejisahau na matokeo yake tutakufa wengi kwa kosa hilo
unadhani huo muda aliojitolea kusomea udaktari sio uzalendo?
Hivi daktari akienda dukani anapewa sikari bure?kuna madaktari wamejisomesha IMTU kwa malipo ya USD....nao pia waliitia serikali hasara ?
Walipeni hiyo milioni tatu walipe deni la masomo.
Isitoshe madaktari wana wazazi,mababu,mabibi,wajomba na mashangazi ambao wamelipa kodi za kuwasomesha.
katika hii kauli pia nimekuwa na wasiwasi na serikali maana mianya ya hawa wenzetu kupata 'kitu kidogo' ni finyu japo kazi zao ni more practical ukilinganisha na kada nyingine.
Lakini pia tukumbuke kuwa mwaka 2005 USD $1 = Tsh.650/- na kilo moja ya mchele ilikuwa Tsh. 400/- bila kutaja vitu vingine.
Waliobuni hizi siasa wameweka mipaka zisiingie mpaka baadhi ya maeneo mojawapo likiwa hili la madaktari, lakini sisi tulioiga tumejisahau na matokeo yake tutakufa wengi kwa kosa hilo
Waseme na hizo ratio zilikuwa ngapi kabla ya Kikwete na baada ya miaka ya uwepo wake. Nakuhakikishia hawawezi.
Jionee huruma ww uliyesoma ualimu wa msingi na upolisi..ambaaye ukifukuzwa kazi huna pa kwenda.kwa mchanganuo wa matumizi ya hapo juu ya kumtengeneza doc mmoja na kisha kumlipa mara 2 zaid ya watumishi wengine kinachoonekana kwa madoc wetu ni ukosefu mkubwa wa uzalendo au kutokujua wanachofanya,nawaonea huruma sana
Mie madaktari siwafagilii
What do you mean by life span?me nafahamu life expectancy,fanya review ya notes zako upyaTupe "life span" ya Mtanzania 2005 na ya 2011.
Na ueleze kama imepunguwa ni kwanini na kama imezidi ni kwanini.
What do you mean by life span?me nafahamu life expectancy,fanya review ya notes zako upya
toka kuwepo kwa nchi ya Tanzania hadi leo ni madaktari 1500tu ndio wanaofanya kazi ktk hospitali za serikali..haijalishi ilikuwa ni katika hatamu ya nani!
hawa wanahudumia zaidi ya wananchi milioni 40!!Takwimu za W/afya.
lakini kwa uchache huo 300 zaidi "wamefukuzwa".. mamia wakiwa wamehama nchi na wengine wakiwa wamehamia sekta binafsi!