trachomatis
JF-Expert Member
- Jun 7, 2011
- 3,758
- 746
Kiboko yao ni M British mwenzao George Galloway.
Alinifurahisha aliwagaragaza ma Senator wa US walipomuweka kiti moto.
George Galloway VS The US Senate 1 of 5 - YouTube
wamezuia online site pia? Yaani, presstv.ir
Bado tuna kazi kubwa ya kujifunza namna ya kutatua migogoro!!!!
tatizo la wairani ni kuwa kila walichonacho ni fotokopi ya mwingereza na marekani na Irani lazima ipigwe ijue Israel ni taifa la Mwenyezi Mungu kama maandiko matakatifu ya Biblia yanavyoelekeza...........