Britain tells Kenya Govt: Give us back our free primary aid | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Britain tells Kenya Govt: Give us back our free primary aid

Discussion in 'Kenyan News and Politics' started by lukindo, Jun 17, 2011.

 1. lukindo

  lukindo JF-Expert Member

  #1
  Jun 17, 2011
  Joined: Mar 20, 2010
  Messages: 7,348
  Likes Received: 4,802
  Trophy Points: 280
  Habari za mihangahiko!

  Jamani hii article imekaaje??? Unaweza kuipata kwenye link hapo chini.
  Ni kweli kwamba historia inaendelea kulisoma vibaya bara letu la Africa!!?? ...maana wakipiga hodi hapa kwetu TZ ambapo deni la taifa linazidi makusanyo ya mwaka si ndio 'kwisha kazi'!?

  Source: http://www.nation.co.ke/News/Britain++Give+us+back+our+free+primary+aid+/

  Britain: Give us back our free primary aid
  [​IMG] British High Commissioner Rob Macaire fields questions during a visit to Africa Sports and Talents Empowerment Programme offices in Eldoret when he said the British Government would like to see decisive steps taken before it could resume supporting Free Primary Education.


  Posted Thursday, June 16 2011 at 21:46

  Britain is demanding a refund of Sh7 billion aid to Kenya’s free education programme following revelations of massive corruption.


  “The UK Government will push the Government of Kenya hard for return of the UK’s share of lost funds,” the Department for International Development (DFID) said in a statement.


  During an interview in Nairobi, DFID deputy head Mike Harrison said the money once repaid will be ploughed back to fund education in Kenya but through non-State channels.

  “We are insisting that besides the government instituting radical reforms in the Ministry of Education, our proportion of the pool fund must be returned,” Mr Harrison said.
   
 2. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #2
  Jun 17, 2011
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 5,923
  Likes Received: 1,703
  Trophy Points: 280
  Kuna tetesi kutoka vyanzo vya uhakika, kwamba hata sisi Watanzania waliotusaidia pesa za Public Finance Management Reform Programme(PFMRP), mbali kwamba wameanza mchakato wa kuzitisha pia wanataka watu wawajibishwe kwasababu hizi pesa watu wamekuwa wanagawana posho tena kwa upendeleo kwenda Swaziland kupumzika na kusoma vitu vidogo ambavyo hata CBE wanaweza kuviaandaa
   
 3. lukindo

  lukindo JF-Expert Member

  #3
  Jun 17, 2011
  Joined: Mar 20, 2010
  Messages: 7,348
  Likes Received: 4,802
  Trophy Points: 280
  halafu kwa mtaji huo bado nikamsikia Mh. Hilda Ngoye bungeni juzi anaiomba serikari kuweka incetives ili mbuga ya Katavi ifikike maana "wazungu wanaipenda sana" ...lakini wanashindwa sababu ya miundombinu. Yaani tunafanya mambo kwa ajili ya wageni badala ya kijifikiria sisi kwanza! Sasa angalia hiyo aibu!!!
   
Loading...