Maisha ni kujifunza. Since bado Ana mikono, miguu name afya njema uwezekano wa kubadilika upo. Ndio kwanza Ana 26 bado muda upo. Wakati unamnyooshea Wema na wengineo kidole na wewe jiangalie km unastahili kuwa ulipo ili ujiongeze na kubadilika. Vijana wengi huwa tunajisahau Sana na kujipa starehe. Ukijastuka ni 35 unaelekea 40 hakuna ulichofanya. #learningmylessonsthroughother 'sexample
Hivi kuna mwanaume aliyetulia na mwenye future anaweza kuingiza dushe kwenye kitu ya huyo dada, waliompitia wote hata kwenye google unawapata, nafikiri kigodoro ni saizi yake, hongera angela damas,unakula kipupwe tu
FAFAUA plz ANGELA DAMASI anakula kipupwe cha wapi na ni kwa nini umefananisha hapa mana mamiss ni wengi wanaotanua sehemu mbalimbali DUNIANI na maisha yao ni BOMBA.