Bride price just increased....!!!!

Duh! Lakini kwa vijana hawa wa siku hizi ukiwawekea MAHARI kubwa, WANAMTWANGA binti yako MIMBA then utajua UBINAFSI si kitu kizuri.

Watu wakipendana bila kujalisha WANA MA DIGRII au la, nyie kama wazazi wasaidieni wafikie LENGO lao na sio kuwa OBSTACLE tena.
 
Mkuu, hapo binti ndo kavaa yeye mwenyewe kwa mbwembwe zake kumaanisha now dau limepanda
 
HIZI MAHARI UTAFIKIRI UNANUNUA UWANJA
Siku hizi watu wanakomaa hata tigopesa utume. Yaan mambo ya koti la babu, khanga ya bibi, sijui unga wa kalembwana etc hamna kabisa. Utashangaa hata kadi za mwaliko zinapostiwa insta
 
Siku hizi watu wanakomaa hata tigopesa utume. Yaan mambo ya koti la babu, khanga ya bibi, sijui unga wa kalembwana etc hamna kabisa. Utashangaa hata kadi za mwaliko zinapostiwa insta

hahahaaaa mkuu umeniua, baba mkwe anakomaa rusha hats tigo pesa
 
hali mbaya wakiona inachelewa wanapiga simu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…