BRICS vipi wanaendeleaje?

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
6,993
Reaction score
6,067
Baada ya ziara ya waziri Mkuu wa India huko Israel nimeanza kupata mashaka na Maendeleo ya BRICKS hivi wanaendeleaje huko?

Your browser is not able to display this video.
 
Attachments

  • IMG_4958.jpeg
    183.6 KB · Views: 4
  • IMG_4957.jpeg
    169.2 KB · Views: 7
  • IMG_4956.jpeg
    138.3 KB · Views: 2
  • IMG_4955.jpeg
    156.2 KB · Views: 8
Kwamba India ikitembelea Tel Aviv ndio msimamo wao juu ya free Palestine umefia hapo?

India wana positive neutrality ya kuzitambua both Israel and Palestine kama two-state solution. In fact India tokea 1974 inaitambua Palestina kama taifa huru na haijawahi badilisha msimamo.
 
huyo huwa haelewi mambo hata uje na daftari
 
Suala hapa ni Brics na wala sio Israel vs Palestine mue watu wa kuelewa mambo basi.

Brics haiwezi kufaulu kwani biashara nyingi duniani bado zinatumia dola ya Marekani na mataifa mengi yanaogopa Tariffs.
 
Tumia akili zako vizuri Mimi nimeuliza Swali kuwa BRICKS wanaendeleaje huko? Maana Mwanachama wao mhimu katia saini mikataba 16 na Israel ambayo inapigana sana na BRICKS!!

Cha kusikitisha umekurupuka kama mwehu na kuanza kubwabwaja ujinga-ujinga mtupu!!
 
Suala hapa ni Brics na wala sio Israel vs Palestine mue watu wa kuelewa mambo basi.

Brics haiwezi kufaulu kwani biashara nyingi duniani bado zinatumia dola ya Marekani na mataifa mengi yanaogopa Tariffs.
Putin alienda marekani, Trump atafanya ziara china siku chache zijazo
 
Hiyo mikataba inapingana vipi na brics?
 
Hiyo mikataba inapingana vipi na brics?
Kumbe wakurupukaji mko wengi tumieni akili zenu vizuri soma nilichokiandika ndipo uje ujibu siyo kuuliza maswali ya kijinga hapa!!
 
Ziara ya wa merz wa German ameiathiri vp Brics kwa kuzuru kwake China?
 
Reactions: Lax
Ujinga unakusumbua hata umeshindwa kujibu Swali rahisi hivyo!!!
Hakuna chanzo ulichoweka, India kaingia mikataba gani na Israel inayokinzana na BRICS?.. UK juzi tu PM alienda china, Canada pia,na punde Trump ataenda
 
Hakuna chanzo ulichoweka, India kaingia mikataba gani na Israel inayokinzana na BRICS?.. UK juzi tu PM alienda china, Canada pia,na punde Trump ataenda
Jibu Swali Acha kubwabwaja ovyo!! Mimi sijaongelea PM wa Uingereza wala Trump kwenda!!! Tumieni akili zenu vizuri!!!
 
Jibu Swali Acha kubwabwaja ovyo!! Mimi sijaongelea PM wa Uingereza wala Trump kwenda!!! Tumieni akili zenu vizuri!!!
Wewe ndiyo useme hiyo mikataba India alivyoingia na Israel kivipi inayumbisha BRICS
 
bado wanatafuta lugha ya pamoja

Huwezi azisha uhuni na bado mawasiliano utumie lugha ya dolali au pound
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…