Brexit, UKs vote to selfishness!


masopakyindi

masopakyindi

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2011
Messages
14,385
Likes
3,042
Points
280
masopakyindi

masopakyindi

JF-Expert Member
Joined Jul 5, 2011
14,385 3,042 280
The now infamous Brexit has stirred more dirt than the tight lipped Brits would care to admit.
The whole essence of the Brexit vote was more inward looking, and many in the UK are now reslising just how misinformed they were, by the politicians.

The Brits are trying to deny the gobalisation nature of business and trade.

The "us" against ""them" stance is now downing on the ordinary man in Picadilly.

That the "us" is so intertwined with "them" that the Brits are now realising that they cant stop the downward slide of the British pound, which, in only two days after the brexit polls, has sunk to an alltime low unprecedented in the last three decades.

Selfishness does not sell, its spineless.
The rest of Europe is aghast!

Worse still, europe had better watch out for its rogue politicians who incite strife!

Its not lost to the rest of us that both world wars , started in europe.

Fiery ambers were flamed across europe,over 100 years ago by rogue politicians, and it seems we are now coming full circle this time around.

Thanks to BREXIT!
 
Lole Gwakisa

Lole Gwakisa

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2008
Messages
4,058
Likes
490
Points
180
Lole Gwakisa

Lole Gwakisa

JF-Expert Member
Joined Nov 5, 2008
4,058 490 180
I concur!
UK will come to regret, for its citizens making a wrong move.
 
Hoshea

Hoshea

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2012
Messages
4,188
Likes
1,745
Points
280
Hoshea

Hoshea

JF-Expert Member
Joined Jan 24, 2012
4,188 1,745 280
Endeleeni kujidanganya, wananchi wa kawaida ndio wameamua iwe hivo kutokana na madhila EU imeleta UK.
Na mjue nchi zingine tajiri wanataka referendum ya kujitoa EU
 
Invisble275

Invisble275

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2014
Messages
982
Likes
1,039
Points
180
Invisble275

Invisble275

JF-Expert Member
Joined Nov 28, 2014
982 1,039 180
Endeleeni kujidanganya, wananchi wa kawaida ndio wameamua iwe hivo kutokana na madhila EU imeleta UK.
Na mjue nchi zingine tajiri wanataka referendum ya kujitoa EU
Kilicho watoa Waingereza ni ubinafsi na kujiona wao ndiyo wao. Sasa hivi wageni wote ambao non-Anglo saxon wameanza kubaguliwa na kuambiwa Uingereza is for English people. Huo ni ubaguzi ambao utawatafuna tu. Scotland na Northern Ireland nao wanataka wajitoe kwenye muungano na UK. wao wajiunge EU. Ukubali usikubali waingereza watajutia tu. Siku mbili tu baada ya kupiga kula Pound imeporomoka kiajabu. Hakuna mataifa tajiri yatakayo ondoka EU. Usitegemee Germany au France kuondoka EU
 
Lole Gwakisa

Lole Gwakisa

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2008
Messages
4,058
Likes
490
Points
180
Lole Gwakisa

Lole Gwakisa

JF-Expert Member
Joined Nov 5, 2008
4,058 490 180
Endeleeni kujidanganya, wananchi wa kawaida ndio wameamua iwe hivo kutokana na madhila EU imeleta UK.
Na mjue nchi zingine tajiri wanataka referendum ya kujitoa EU
Waingereza wana ile inaitwa parochial view ya dunia.
Wanajifikiria wao kwanza, me first!
Uchumi wa UK ni tegemezi kwa kiasi fulani, mwaka jana waliuza kidogo EU(£250bn) na kununua zaidi(£350bn) hivyo kuwa na trade deficit.
Sasa wenzao EU wameshasema kama mbwai iwe mbwai, waondoke tu, kwanza wanatutegemea!
 

Forum statistics

Threads 1,237,120
Members 475,401
Posts 29,278,933