BREXIT, The British are really stupid in the Worlds eye!

BREXIT, The British are really stupid in the Worlds eye!

Sheria za uhamiaji na ajira za EU ni mbovu sana. Watu wanatoka zao Eastern Europe na taaluma zao wanaingia Uingereza na kuajiriwa kwa ujira mdogo na kuwafanya wataalam wenyeji kukosa kazi.

Sheria hizo pia zinachangia ugaidi kuongezeka kwa kuruhusu kiholela raia kutoka mataifa ya mashariki ya kati na asia ya kati pia wageni huja na tamaduni zisizoshabihiana na utamaduni wa wenyeji hivyo kuleta mkanganyiko.
Na hiki ndo kilichompoteza kwenye uongozi councilor wa Ujerumani bibi Merkel
 
Back
Top Bottom