Brevis vs mark ii grande gx 110

MZAWA JF

JF-Expert Member
Apr 4, 2014
4,369
3,815
Wadau, Niko morogoro nakaribia kufanya maamuzi magumu ya kununua gari. Kati ya hizo gari naomba mnishauri ni IPI nzuri? Kuhusu ulaji wa Mafuta najua zinafanana ni cc 2500
 
Wadau, Niko morogoro nakaribia kufanya maamuzi magumu ya kununua gari. Kati ya hizo gari naomba mnishauri ni IPI nzuri? Kuhusu ulaji wa Mafuta najua zinafanana ni cc 2500
Kama ni mtu wa kusafiri sana nunua Brevis uko stable barabarani na inamwendo
 
Chukua brevis,ni nzuri na ni ya kisasa zaidi ukiilinganisha na grande mark2 ambayo model ile imetoka muda mrefu kidogo ambapo kwenye registration zipo hadi za namba A
Hizi ni kama zimetoka muda sawa tu, GX 110 toleo la kwanza ni la mwaka 2000, Brevis ni mwaka 2001. Ni kwamba tu hapa bongo zilichelewa kuingia kama mtumba, ndio maana tunaziona mpya. Kwa fuel consumption na urahisi wa kutengeneza (hata mafundi uchwara huwa wanaziwezea hizi GX 110) achukue hiyo Mark II, kwa ufahari wa kibongo bongo anaweza akachukua hiyo Brevis
IMG_20171210_131544.jpg

IMG_20171210_131617.jpg
 
Nashkur kwa maoni yenu wadau, ila naomba anayejua anisaidie, ivi gari ya CC 2500 kama unaebdesha mwendo wa kawaida 80-100 kph masafa marefu ya km 500 (mfano) utasafiri km ngapi kwa Lita? Vile vile msaada kwa gari ya CC 2000
 
Tofauti ni ndogo sana kama gari itakuwa katika hali nzuri ie matunzo. Nimetumia beams 2000 ambayo ni engine ya mark 11 na 1jz engine ya brevis kwa safari 1jz inakula vizuri iwapo haitakuwa na kasoro yoyote maana hii engine umeme unachukuwa nafasi kubwa kwenye ufanyaji kazi.
 
Wadau, Niko morogoro nakaribia kufanya maamuzi magumu ya kununua gari. Kati ya hizo gari naomba mnishauri ni IPI nzuri? Kuhusu ulaji wa Mafuta najua zinafanana ni cc 2500
Brevis 2004 and the Mark II Grande 2002 are both developed by Toyota as luxury sedan vehicles. All standard luxury features such as air conditioning, audio CD with mini disc, touch sensitive electric windows and mirrors as well as velour fabric or leather seats are provided. Brevis has better legroom while Mark II offers better head and shoulder room.

Brevis was developed to the highest luxury level of the Lexus. It goes a notch higher than the Mark II. In the Brevis, air-conditioning comes standard with an air purifier and its adjust memory seats can be heated with the throw of a switch. Side and back cameras relay images to a monitor to assist the driver as he parks the car.

The styling features on the Mark II include its grand size, wide angles shiny wide chrome grille and crystal lights but it falls a step below when compared to the equally big but better moulded Brevis. Brevis styling cues from Lexus include smooth edges and eye catching beautifully moulded front and rear bumpers as well as head lights and tail lights. Brevis is big but attractively compact.

Performance of both cars is the same if you choose to buy the popular and economical 1JZ-FSE 2.5 litre petrol engine with VVTi (intelligent variable valve timing) fitted in both cars. Fuel economy is about 12.5 kms per litre with an engine output of 200 horsepower at 3,600 rpms. However, if you are a high performance loving ‘gear head’ Brevis offers the2JZFSE 3.0 litre petrol engine with D4 VVTi economy which delivers an output of 220 horsepower. Mark II beats that performance with a 2.5 litre petrol engine with twin turbo chargers. It delivers a whopping 280 horsepower but comes with a higher fuel bill. Maintenance challenges of both cars are the same.
 
Back
Top Bottom