PostGE2025 Brenda Rupia: Wanapoteza kodi za Watanzania kwa kesi ya mchongo. Mashahidi hawajui kesi inahusu nini

PostGE2025 Brenda Rupia: Wanapoteza kodi za Watanzania kwa kesi ya mchongo. Mashahidi hawajui kesi inahusu nini

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Kazi ya shahidi ni kushuhudia alichokiona au kukisikia

-wanashuhudia aina gani ya kesi, hyo ni kazi ya wenye mamlaka ya kisheria hususani waliopo kwenye tasnia ya kisheria

TECDEMA ni mapang'ang'a kweli kweli. hapo kajiona kuwa kaongea point?
-hzo presha za kijinga
 
#Lissu si muhaini, sote twalijua hili. Hii ni akili mbovu ya huyo samuya mwenye div 0. Kwa akili yake mgando anajua anawadhoofisha wapinzani na kutukomoa cc watanganyika.
 
Back
Top Bottom