PreGE2025 Brenda Rupia: Tunaona kabisa kwamba huyu Jaji amepewa maelekezo yenye nia ovu na Chama chetu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
1,446
Reaction score
2,093
Vita ya Chama cha demokrasia na maendeleo dhidi ya amri iliyotolewa na mahakama kuu ya Tanzania Masjala ndogo ya Dar es Salaam kupiga marufuku kufanya shughuli zozote za kiutendaji kwa muda, kauli iliyotolewa leo Juni 10, 2025
===

Mkurugenzi wa Habari na Mawasiliano wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Brenda Rupia, na Meya wa zamani wa Jiji la Dar es Salaam Isaya Mwita wameonesha mashaka yao kwa Mahakama kuhusiana na namna inavyoendesha shauri lililofunguliwa na aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa chama hicho Zanzibar Saidi Issa Mohamed na wenzake wawili (2) dhidi ya Baraza la Wadhamini na Katibu Mkuu wa CHADEMA, ambapo leo, Jumanne Juni 10.2025 Mahakama imetoa amri ya kuzuia kwa muda shughuli zote za kiutendaji na oparesheni za chama hicho hadi hapo shauri la msingi litakaposikilizwa

Soma Pia: Rasmi, Mahakama yapiga marufuku shughuli zote za CHADEMA

Source: Jambo_online_tv
 
Kwani shida ya huu mgogoro iko wapi hasa? Kama huyo msajili na haobwapuuzi waliofungua kesi, wanataka mchakato urudiwe! si hao Chadema wafanye huo mchakato na kuwarejesha watu wale wale! Au kuna tatizo kubwa ambalo wengi hatulifahamu?
 
Tumesema mara nyingi wakifute, ukiuliza ccm wanafanya haya kwa faida ya nani hata jibu hawana
 
Kwani shida ya huu mgogoro iko wapi hasa? Kama huyo msajili na haobwapuuzi waliofungua kesi, wanataka mchakato urudiwe! si hao Chadema wafanye huo mchakato na kuwarejesha watu wale wale! Au kuna tatizo kubwa ambalo wengi hatulifahamu?
Sasa ukirudia baraza kuu unahalalisha alichosema msajili kuwa walichaguliwa isivyo halali. Na mind you ukirudia baraza kuu leo usishangae mkutano ukavurugwa usifanyike hivyo chama kukosa viongozi. Its simple Mnyika ataendelea kuwa kaimu till baraza kuu linalofuata watachagua upya.
 
Kwani shida ya huu mgogoro iko wapi hasa? Kama huyo msajili na haobwapuuzi waliofungua kesi, wanataka mchakato urudiwe! si hao Chadema wafanye huo mchakato na kuwarejesha watu wale wale! Au kuna tatizo kubwa ambalo wengi hatulifahamu?
Wao wangefuta chama tu,kibaki CHAUMA ,ACT na vyama shikizi vingine.Namna nyingine ya kupigania haki ifanyike kwa watakaoona inafaa.
 
Ila kitu ninachoamini mimi serikali mwisho wa siku itaaibika. Chadema wasirudi nyuma na NRNE.
 
Kwani shida ya huu mgogoro iko wapi hasa? Kama huyo msajili na haobwapuuzi waliofungua kesi, wanataka mchakato urudiwe! si hao Chadema wafanye huo mchakato na kuwarejesha watu wale wale! Au kuna tatizo kubwa ambalo wengi hatulifahamu?
Madai Yao sio mchakato Bali mapunjo ya mgawo WA fedha Kwa upande WA Zanzibar.
 
Kwani shida ya huu mgogoro iko wapi hasa? Kama huyo msajili na haobwapuuzi waliofungua kesi, wanataka mchakato urudiwe! si hao Chadema wafanye huo mchakato na kuwarejesha watu wale wale! Au kuna tatizo kubwa ambalo wengi hatulifahamu?
Hiyo kesi imeenda faster kuliko hata ya kina Lissu uhuni tu hapo hakuna kitu hapo mzee Tate.
 
Back
Top Bottom