Breast pressing

Jaguar

JF-Expert Member
Mar 6, 2011
3,438
1,026
Hii ni mila imetapakaa haswa nchi za africa magharibi(nigeria,ivory coast,liberia etc).Binti akipevuka,vititi vikianza kuchomoza tu,akina mama watu wazima huchukua jiwe la kusagia nafaka,linapashwa moto,then linakandamizwa katika matiti ya binti.Lengo ni kuua glands za matiti ili kuchelewesha kukua kwa hayo matiti.Lakini lengo kuu ni kuwaepusha mabinti na mafataki waroho wa mabinti wanaochipukia wakiamini kuwa binti mwenye kifua 'flat' hana mvuto kwa wanaume hivyo atakuwa salama.Glands za ukuaji wa matiti hujirudi baadaye sana wakati binti ashakuwa mtu mzima na yuko tayari kuolewa.Huku bongo tunahangaika na tohara ya wanawake,afrika magharibi ndo kama hivyo.
 
Niliwahi sikia hii mikoa fulani pia Tanzania wanafanya hivi na lengo ni maziwa ya binti yasianguke
 
Makhabithi wote hao! Utawafanyiaje mabinti wadogo unyama kama huo. Miafrika bana....
 
Ndo kwanza nasikia hii kitu!Mila nyingine kwakweli ni zakupigwa marufuku na adhabu kwa atakaekiuka!
 
duuh hiz mila jamani...malengo ni mazuri ila namna ya kuyatimiza ndiyo hatari maan haikubaliki kisayansi wala kiasili.
 
I think ni njia nzuri coz mabinti wenyewe misimamo hawana alafu ukicheki chuchu imesimama kama embe DODO.na siku hiz wanavaa nguo zinazo yaacha waz baasi tabu kwelikweli!!
 
Hii hata kwangu pia, naisikia mara ya kwanza.

Ili kuepusha mila kama hizi pamoja na za kukeketa, nafikiri wanaharakati wa jinsia, wangebadilisha approach, kwa kubadilisha mtazamo wa wanaume juu ya viungo vya mwanamke.

Kwenye jamii ya kiafrika, tunawaza sana ngono. Tunatakiwa tubadilishwe mawazo kuwa matiti ya mama ni kwa ajili ya mtoto, na si kwa ajili ya lijibaba lenye ndevu kufanya makamuzi pale. Hata tukiona miguu, jamani, miguu ni kwa ajili ya kutembelea, na makalio ni kwa ajili ya kukaa. Na hivi ndivyo tunavyofundishwa kwenye somo la sayansi ya elimu viumbe (Biolojia). Sasa inakuwaje ukiona miguu kwenye avatar ya MR unafikiria vingine? Ile ni miguu ya kutembelea tu na wanaume nao wanayo! Na matiti ni hotel ya mtoto na si vinginevyo!

Naomba msinishambulie, ni mtazamo tu!
 
HAHAHAHAHAH! Ni kweli tupu jamani!
 
Hahaha nanrem bwana, ni kweli usemayo lakini
 
Haswaaaa!
 
WAT???, japo nasoma tu lakin najisikia maumivu kifuani kwangu, yaani jiwe la moto kukandamizwa kwenye maziwa yangu,,nahisi hapo lazima ntazimia kwa hayo maumivu.
mmh!! hizi mila zingine za kiafrika ni mateso matupu kwa watoto wa kike, POLE YAO HAO WATOTO WOTE WANAOFANYIWA UNYAMA HUU.
SIJAWAHI KUISIKIA WALA KUIOTA MILA MBAYA NA YA KIKATILI KIASI HIKI HAWANA TOFAUTI NA JAMII ZINAZOTAHILI WATOTO WA KIKE.

Yaani JF kila siku najifunza kitu au jambo jipya japo haijalishi kama ni kibaya au kizuri.
 
Back
Top Bottom