2012. July, 25
Majira ya saa 4 hivi asubuhi, nikaandikiwa text naambiwa mimi na wewe tumeachana. Ilikuwa ni kama mzaha tu, nilibembeleza mno hadi kumuelezea sister wake wapiii!. Niliteseka kwa miaka miwili nikapona. Ulikuwa ni wakati mgumu mno sijawahi pitia na sitowahi pitia maishani mwangu. Nilikuja kufahamu baadae kilichosababisha ikawa hivyo, nilishukuru kwa kunipitisha kwenye tanuru lile qmamae.