Watani wanakazi kubwa sana na huyu mfungwa
Tumia ubongo japo kidogo kabla hujaandika!! Hii si lugha nzuri
Baada ya kutoka kwa msamaha alikata rufaa na mahakama ikamsafisha kwamba hakuwa na kosa! Sasa haya maandishi yenu wakati mwingine yanaweza kuwaletea balaa!! Ongelea kinachoendelea sasa kama una hoja yenye mashiko ilete tuijadili!!mkuu huyu si alitoka kwa msamaha HUYU ALIKAA JEAL MDA WAKOTOSHA NA NINYI MKAMPA UONGOZI
Kwani huyu Rage alieziba mianya ya SIMBA kufanywa shamba la bibi, ameonyesha nini zaidi ya kuuza wachezaji wa kiwango na kununua wa kiwango cha chini. Okwi hatuoni fedha zeke, Kapombe haileweki, kabla yake SIMBA ilikua timu ya ushindi sasahi tiamajitiamaji.Safi sana Rage, umewabana sana waliogeuza simba shamba la bibi, tunatofautiana kwa mengi, lakini kwa hili tupo pamoja.
Labda angeandika: Ex- convict?Tumia ubongo japo kidogo kabla hujaandika!! Hii si lugha nzuri
Siyo Msomali bali ni Al-ShababMashabiki na Wanachama wa Simba nikama Mbwa kwa chatu mbele ya huyu msomari.
mkuu huyu si alitoka kwa msamaha HUYU ALIKAA JEAL MDA WAKOTOSHA NA NINYI MKAMPA UONGOZI
Tumeumia na huyu msomali sijui katulogea wapi wana Simba anafanya anachotaka hamna wa kumgusa, ngoja timu ishike nafasi ya 16 ndio tutashtuka labda.