Breaking nuuuzzz!

Mfarisayomtata

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2012
Posts
474
Reaction score
188
leo chama cha pool table tanzania kimetangaza kutompokea juma nyoso kwenye mchezo wao, na wanafanya hivyo kujihami kwani kwenye mchezo wao wanahisi ndio atakuwa hatari zaidi.
 
Ila kuna watu wamezidi kuinama kwa mbwembwe wakicheza pool table, ni vema nyoso apate ugeni rasmi huko awanyenyue kidogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…