Sasa baada ya mbunge wao (mtetezi wa machinga) kuondoka kwenda dodoma, hawa askali ndio wanalianzisha..? mwenye more info atujuze, ila huenda itakuwa baadhi ya maeneo kuna jamaa yangu nimeongea nae yupo ppf plaza kenyatta road hapo pako shwari ila anasema asubuhi aliona madefender ya polisi