Glas JF-Expert Member Joined May 30, 2016 Posts 1,242 Reaction score 1,190 Sep 24, 2016 #21 Kumbe ushauri!!!? Ah ahbah ah hana chake hapo
mkupuo JF-Expert Member Joined Apr 6, 2012 Posts 1,936 Reaction score 2,407 Sep 24, 2016 #22 Kweli nimeamini njaa haina baunsa. Le profeseri mzima analazimisha awe kiongozi wa kikundi cha watu ambao wameonesha dhahiri hawamtaki tena baada ya kutangaza mwenyewe hadharani kuwa anang'atuka !!
Kweli nimeamini njaa haina baunsa. Le profeseri mzima analazimisha awe kiongozi wa kikundi cha watu ambao wameonesha dhahiri hawamtaki tena baada ya kutangaza mwenyewe hadharani kuwa anang'atuka !!
M2mwembamba JF-Expert Member Joined Feb 23, 2014 Posts 2,502 Reaction score 1,103 Sep 24, 2016 #23 Dah! vioja kweli
nankumene JF-Expert Member Joined Nov 12, 2015 Posts 7,408 Reaction score 8,223 Sep 24, 2016 #24 Huwez kuongoza watu wasiokuhitaji
Mgibeon JF-Expert Member Joined Aug 7, 2011 Posts 11,409 Reaction score 21,799 Sep 24, 2016 #25 Ona maisha yetu! kama mchezo wa kuigiza.