yahoo...source mkuu?
afu mnataka kuwa kama ligi za ulaya,mtakaa sana na bongo yenu.... Nidhamu ndo key ya maendeleo ya kila kitu hapa duniani...over
afu mnataka kuwa kama ligi za ulaya,mtakaa sana na bongo yenu.... Nidhamu ndo key ya maendeleo ya kila kitu hapa duniani...over
Kama ni kweli basi TFF inahitaji kufanyiwa mageuzi makubwa sana. Ni aibu kwa mchezo wa soka! Hatuwezi lea wahuni kwa visingizio vya kipumbavu kiasi hicho!afu mnataka kuwa kama ligi za ulaya,mtakaa sana na bongo yenu.... Nidhamu ndo key ya maendeleo ya kila kitu hapa duniani...over
Adhabu wamefutiwa kabisa, au kamati inayopaswa kuwaadhibu ndio itashughulikia swala la kuwaadhibu tena?!
ni kwamba kamati ya nidhamu imeipa siku 14 kamati ya ligi iwe imewasirisha mashtaka ya hao wachezaji ili kamati ya nidham itoe hukumu yake.jamani tibaigana sote tumamfaham hafanyi kazi zake kisiasa.mnaotoa coments humu muwe great thinkers,humu sio fbook. .