Breaking news; mlipuko katika busi Jerusalem

Breaking news; mlipuko katika busi Jerusalem

rmb

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2010
Posts
223
Reaction score
7
Mlipuko umetokea katika basi au karibu na basi huko Jerusalem dakika chache lizizopita. Hadi sasa mtu mmoja(??) amefariki na majeruhi wengi.

Niwieni radhi kwa kukosea spelling hapo juu

Source;aljazeera
 
Mods -- hii siyo mahala pake hapa -- peleka kule International Forum.
 
Mlipuko umetokea katika basi au karibu na basi huko Jerusalem dakika chache lizizopita. Hadi sasa mtu mmoja(??) amefariki na majeruhi wengi.

Niwieni radhi kwa kukosea spelling hapo juu

Source;aljazeera

naona Wapalastina wamechoka kukaa salama. hesabu yetu ni ilelile haibadiliki: myahudi mmoja akifa = tunauwa wapealastina 8
 
Back
Top Bottom