breaking news.....just in

nikiwa kama shuhuda wa tukio ama souce kwa kiingereza.nikiwa kama mmiliki wa hotel ya kitalii waliyofikia maharusi.Terms and Condition zetu haziruhusu kutoa taarifa za wateja wetu isipokuwa kwa sababu za kiusalama.ni kweli tuliwapokea maharusi baada ya kushinda tenda.na ghafla baada ya maharusi kuingia chumbani zilisikika kelele kama za ugomvi,ndipo tukamuamuru askari wetu @st pakamweusi na muhudumu Baba V na manager wa hotel mimisa waende kujua kulikoni.ndipo tulipomuona bibi harusi na shela lake akikimbia na kuchukua tax kuondoka.na ndani alikutwa bwana harusi akilia kama mtoto.
 
Last edited by a moderator:

Chimbuvu una akili sana!
 
Last edited by a moderator:

Tangia nimejiunga JF huu ni mwaka wa 5 sasa,hii nadhani ndo super breaking news aiseee.
Hahahahahhaahahhahhahhahhahahhahaha
 
Last edited by a moderator:
Lady doctor nakuona humu (last activity 14:15) njoo ueleze kwa nini alfajiri umekimbia na kyupi mkononi
 
Last edited by a moderator:
Naona jukwaa limevamiwa na visasi hasa unateswa kwa mateso Halisi.
Mwanaume kunyimwa kikojoleo duuhh hapa bro Arushaone naomba maelezo
 
Last edited by a moderator:
daaaaah Bishanga!!!!!! we mkareee kwa udakuzi tuu! yani unafukunyua mpaka ya uvunguni!!!!
na hii harusi ilivokuw ana mashiko kam aya rose garden na naniliu!!! sosoliso mpenzi njoo ona mambo huku! hahahahahahahahahahahahaaaaaaaa
 
Last edited by a moderator:
kwekwekwe kwe!!!!! kukosa kijokole ni zaidi ya kikojoleo mmmmmmhhh!!! Lady doctor utajijuuuuuuuuu!!!! huyo ndo mzee Bishanga shushushu la chitchat
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…