Soon wataanza kwenda kwenye mikoa yenye ushindani mkali kwenye sekta ya usafiri wa anga Rukwa na Katavi ambako kila mwananchi anamiliki ndege yake
good news ,ila mngeweka bei halisi ,je pamoja na vat ni kiasi gani?ili mtu ajue kabisa
FastJet "We're Excited to Announce Our New Route Between Kilimanjaro and Mwanza is Confirmed"
We're excited to announce our new route between Kilimanjaro and Mwanza is confirmed! fastjet flights start on Monday 18th March, flying once daily each way.
One-way tickets start at just TSh32,000 (excluding tax & charges). Tickets go on sale tomorrow morning at Africa's Low Cost Airline - Fastjet - Remember to book early for the best prices!
SOURCE - FAST JET
Soon wataanza kwenda kwenye mikoa yenye ushindani mkali kwenye sekta ya usafiri wa anga Rukwa na Katavi ambako kila mwananchi anamiliki ndege yake
Hii inatia machungu, kwanini zimetoka route tatu kwa siku kwenda mwanza na KIA imekuwa moja? au ndio mpango wa kuimaliza kabisa na haya mashirika yaliyopo Bongo? Huu urasimu mtupu
SABAYA, ukipeleka huko watakutolea furushi za nukuu zangu, na kukupa kama zawadi uende ukawagawie wale wamasai ambao siku hizi wameacha kuua simba za kutolea mahari, wanataka kuwekwa kinyumba na mashuga mamiWee Mzee wewe!!! Ipo siku ntacopy comments zako zote nizipeleke kwenye familia yako kama hawajakukana
Soon wataanza kwenda kwenye mikoa yenye ushindani mkali kwenye sekta ya usafiri wa anga Rukwa na Katavi ambako kila mwananchi anamiliki ndege yake
SABAYA, ukipeleka huko watakutolea furushi za nukuu zangu, na kukupa kama zawadi uende ukawagawie wale wamasai ambao siku hizi wameacha kuua simba za kutolea mahari, wanataka kuwekwa kinyumba na mashuga mami
Bob Fern....Hiyo hoja unavyo vithibitisho?
If dem want to win the revoloution
Must win it, wit rasta!
Can't win no other way
Because if you win other way, you go fight again
If rasta win, den no more war