BREAKING NEWS
Habari zilizotufikia hivi punde ni kwamba,basi la Mohamed Trans lenye namba za usajili T 468 CAV lililokuwa likitokea Dar kwenda Mwanza likiwa na abiria 65,majira ya saa nane mchana lilisimama maeneo ya Gairo na abiria wote kupata chakula cha mchana kisha wakaendelea na safari.Sio kila siku taarifa za majanga tu, unashangaa nini sasa?
Ukifika dodoma waambie wakipeleke milembe

kwa taarifa yako,habari ipo JUKWAA LA UDAKU NA UTANI.Breaking news iko wapi? Tumia busara au hama jukwaa.
mkuu wenine tuna nduu zetu wanasafiri
wakuu! huyu mtoa mada atumii ugolo kweli?