Naja fasta... ngoja nioshe mikono!Karibu bwana Red Scorpion.
Duhhhhhh mi nilidhani ni kuvimbiwa.Unapata stimu za kazi zaidi.
Punguza uroho mkuuDaaa.. mate yanidondoka!
Mimi nilifikiri ni Angola pia.Wa mikoani hawana mafuta ya kukaangia.
Hapo ni Dar mkuu.
Duh, mkuu nimecheka sana aisee.Punguza uroho mkuu