Breakfast murua

Iyo yatatu nichakula ya ubongo ( uwezo mkubwa wakufikiria )...Nzuri kwa akina mama ( mambo yenu ).Nzuri kwakina baba .


Ila tatizo watu niwabishi .
 
Hivi ndo viamsha kinywa walivochapia kina Shadrack, Meshack na Abednego usubuhi usubuhiii! Ndo maana simba waligwaya bana. Walinusa harufu ya mahindi yaliyochomwa wakajua hawa jamaa watakuwa ni sokwe hatar kupindukia acha tuwe wapole tu. Hehehe🙂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…