Endelea kuturushia mambo wengine tunakaribia kushiba
Hii safi sana.
Hii Tanga kunani...kitu uono..
Ha ....
Fenesi!
Hii kitu nikiipata sina shida ya ugali tena nayapenda sana. Zamani mbegu zake tulikuwa tunazichoma na kuzila
Hapa upate na maziwa ya mgando na samaki wa kukuaanga aisssssee