Brazil to play Tanzania in a friendly

ahsante bwana JK Kwa kutununulia magoli matano kwa billioni tatu
Maungu akutie hamu uwalete na wakina TORES MWAKANI

Yeye kuwalipa wafanyakazi wa Tanzania kima cha chini cha Tsh 315,000/= hawezi na hataki! Lakini kununua magoli 5 toka Brazil kwa dakika 90 kwa Tsh 3 billioni anaweza na anakuwapo uwanjani kuona kijana wa kiTanzania akivuka kiwanja na kumkumbatia KAKA. What a shame?
 
Kuonesha bado hela anazo Leo ametoa 53Million kwa ajili ya Twiga starz kuweka kambi kwa ajili ya fainali walizoingia.Aliwaalika Ikulu na kuwapongeza kwa kufikia hatua hiyo..then akatoa tamko la kuwapatia mpunga huo mnene!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom