Brazil out Copa America

tereweni

JF-Expert Member
Aug 15, 2012
618
362
18c29e8638f7ce6a720e17545e976662.jpg
 
Kama mimi, nadhani siku ambayo nilipata furaha katika maisha ya kushabikia mpira wa miguu ni ile siku ambayo Germany waliitwanga Brazil goli 7-1 na ile siku ambayo Yanga waliibamiza Coast Union (Waarabu wa Tanga) goli 8-0.
Hukufurahi kuzidi mimi mkuu (7-1).
Vipi 2006 walipotolewa robo fainali?
Hivi walitolewa na Netherlands au Spain?
Aiseee nilifurahi sana.
 
Uruguay out,brazil out na uruguay out...Tusubiri sasa BABA LAO LA SOKA ALBICELESTE ARGE....likitwaaaa Kombeeee
 
Hukufurahi kuzidi mimi mkuu (7-1).
Vipi 2006 walipotolewa robo fainali?
Hivi walitolewa na Netherlands au Spain?
Aiseee nilifurahi sana.
2006 Walitolewa na France. 2010 ndiyo walitolewa na Netherlands, kisha 2014 Germany akafanya yake.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom