Alikuwa !!! Leo hii ukikutana nae utatoka nduki!! wanaadamu tuone hivi ivi.... (he was clever man)Ni handsome kiukweli
Mwaka 1982, isingepinga Marekani, angechaguliwa kuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa.
George Bush Sr., alikuwa anaiwakilisha Marekani wakati huo na kumtolea nje kwa kura ya veto.
Haya mabishano ndio yaliyomponza Salim A. Salim asichaguliwe mnaendekeza sana Elimu yenu hiyo
au kuna sababu nyingine iliyomshawishi Bush kumuogapa jamaa yetu? Tokyo40 tusaidie
Ila vijana wa those days walikuwa ni smart pia nadhani walikuwa wanawasikiliza waliowatangulia kiasi kwamba kijana wa miaka 25 akipewa majukumu makubwa inakuwa rahisi kuyapokea lakini leo hii ukiwa miaka 34 hata mpaka 40 utaambiwa bado hajakomaa asubiri kidogo
Si nasikia huyu jamaa familia yake haijawahi kuishi tz so hana cha kupoteza. Ni kweli?