Brashi za water dispenser

fimboyaasali

JF-Expert Member
Jan 14, 2011
8,623
8,199
Natafuta brashi za kuosha machupa ya water dispenser, maana uoshaji wake ni changamoto
 
Weka maji ya uvuguvugu ,sabuni , mchanga kiasi na dodoki tikisa ad ikae poa naimani litakaa sawa . Nimejalibu kuwaza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…