wew jamaa acha wizi , kupatana mpaka huku unataka kuendelea kuwaibia watanzania , jamani shtukeni huyu mtu ni mwizi , kila siku anabadilisha tu ID kuanzia kwenye KUPATANA , facebook ,
ana kuambia utoe 10% halafu unalipia kwa kwa west union, moneygram au m-pesa