Brand ninazouza mimi za kuanzia 2012 mpaka mwaka huu kwa hiyo sina 42 inch ila unaweza kupata kuanzia inch 19,22,23,26,28,32,40,46,55,60,65,75 na 85..Hizi zote ni LED. Kwa upande wa LCD kuna inch 32,46 na 50...chagua unayoona inakufaa nikupe bei mkuu