Brand New: HP Pavilion DV7 of 2012 for sale

Mkubwa baraka607 HP Pavilion dv6 with Intel i5, italua ngapi?? na mimi niweke oda
 
Last edited by a moderator:
Nimekusoma boss' nasafiri jumamos narudi jmos ijayo mzee. Nikirudi ntafanya kukucheki!

Sent from my BlackBerry 9930 using JamiiForums
 
Boss bei huwa napanga kutokana na mzigo nilivonunua. Usihofu ntakujulisha hata nikiwa kule ila mara nying mashine zangu hazizidi laki nane bro. Ko ni kutokana na ubora wa mashine naweka na nauli yangu kidogo. Siuzii tamaa mzee

Mkubwa ukifika huko tuwasiliane aisee
 
Boss bei huwa napanga kutokana na mzigo nilivonunua. Usihofu ntakujulisha hata nikiwa kule ila mara nying mashine zangu hazizidi laki nane bro. Ko ni kutokana na ubora wa mashine naweka na nauli yangu kidogo. Siuzii tamaa mzee Sent from my BlackBerry 9930 using JamiiForums
aloo mkuu baraka607, huko ughaibuni unakoenda unaweza kupata mzigo wa tablet original ya samsung galaxy 10.1"?
 
Last edited by a moderator:
Yap bro huwa zinapatikana ila bei ndo mpaka nikiwa nimepata huwa napanga. Ntakujulisha nikiipata ili kama utakua willing kubuy nikuchukulie.
aloo mkuu baraka607, huko ughaibuni unakoenda unaweza kupata mzigo wa tablet original ya samsung galaxy 10.1"?

Sent from my BlackBerry 9930 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Yap bro huwa zinapatikana ila bei ndo mpaka nikiwa nimepata huwa napanga. Ntakujulisha nikiipata ili kama utakua willing kubuy nikuchukulie. Sent from my BlackBerry 9930 using JamiiForums
ok mkuu, AM WAITING.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom