Brand ambassador

enny mchuz

Member
Joined
Feb 23, 2013
Posts
33
Reaction score
1
Jaman naomba kuuliza kazi ya brand ambassador inakuwaje,na yeye anaingia Kitaa kutafuta wateja au?
 
yaan sina hamu ni hzi post za ambassadors, utazunguka mpaka, ninashida n job lakini hapana
 
Unazunguka sana,interview maswali yakoje,nifanyije interview then nalala mbele
 
Nimewah fanya hiyo kazi kwa muda fulani,mizunguko mingi bt kwa kampuni nlofanyia sikuwa naingia mitaani kutafta wateja
 
Nimewah fanya hiyo kazi kwa muda fulani,mizunguko mingi bt kwa kampuni nlofanyia sikuwa naingia mitaani kutafta wateja
Waweza japo kunipa mbali yanayoulizwa kwenye interview maana kesho nina hyo interview kwenye non profit enterprises fulan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…