Last Bitter
Member
- Dec 23, 2016
- 17
- 4
Sasa nani mswahili kati yako na unaowalaumu!?Tunadai leave salary lakini mhasibu anatupiga danadana sasa hatumhelewi,tulitakiwa kulipwa mwezi january angalau tareh 5 lakini ataki kulipa anasema mwezi wa pili ndio atatulipa,anatunyanya waswahili kama nchi yao.this not fair untorelated.
Sasa nani mswahili kati yako na unaowalaumu!?
Mhasibu ni mtu wa chini, umemuona meneja au mkurugenzi ikashindikana kabla ya kuja kutoa siri za ofisi hapa jf!?
Wewe acha utoto, hayo ni mambo ya ofisini, kwa nini unayaleta jf wewe? Wewe inaonekana huenda ni CO tu mkusanya marejesho. Ushauri wangu nenda jifunze kuwa na Subra itakusaidia sana. BRAC tunawajua hawalagi cha mtu. Km vp sema upo Branch gani nikusaidie. Km Huwezi kusema upo wapi, ongea na Area Manager, ikishindkana ongea na Area accountant wako, ikishindkana andika tuma malalamiko yako kwa County Representative, km huna e mail yake ntakusaidia. Wasalimie wote co's, Po, Monitors wote.Tunadai leave salary lakini mhasibu anatupiga danadana sasa hatumhelewi,tulitakiwa kulipwa mwezi january angalau tareh 5 lakini ataki kulipa anasema mwezi wa pili ndio atatulipa,anatunyanya waswahili kama nchi yao.this not fair untorelated.
BRAC MKOA GANI MBONA KAMA HUJAKAMILISHA TAARIFA YAKO?Tunadai leave salary lakini mhasibu anatupiga danadana sasa hatumhelewi,tulitakiwa kulipwa mwezi january angalau tareh 5 lakini ataki kulipa anasema mwezi wa pili ndio atatulipa,anatunyanya waswahili kama nchi yao.this not fair untorelated.
Tunadai leave salary lakini mhasibu anatupiga danadana sasa hatumhelewi,tulitakiwa kulipwa mwezi january angalau tareh 5 lakini ataki kulipa anasema
mwezi wa pili ndio
atatulipa,anatunyanya
waswahili kama nchi yao.this not fair untorelated.
Wewe acha utoto, hayo ni mambo ya ofisini, kwa nini unayaleta jf wewe? Wewe inaonekana huenda ni CO tu mkusanya marejesho. Ushauri wangu nenda jifunze kuwa na Subra itakusaidia sana. BRAC tunawajua hawalagi cha mtu. Km vp sema upo Branch gani nikusaidie. Km Huwezi kusema upo wapi, ongea na Area Manager, ikishindkana ongea na Area accountant wako, ikishindkana andika tuma malalamiko yako kwa County Representative, km huna e mail yake ntakusaidia. Wasalimie wote co's, Po, Monitors wote.
Ndio hivyo . upo Branch gani? WeweWw utakua staff wa brac au ulipita hapo maana unajua utaratibu balaa
Kwanini mkuu ulikaza?Wameniitaa interview nimekaza kwenda huhu!!