Boyfriends & Girlfriends.

Bado hawajakomaa kimapenzi, kila mtu yuko mbali kihisia, labda wamelazimishwa.
 
Kwa vyovyote watu wazima na akili zao wanahusika kuandaa hii kitu.
 
Bado hawajakomaa kimapenzi, kila mtu yuko mbali kihisia, labda wamelazimishwa.
Hapana, mbona wanashika kiuno, nani aliwaambia kuwa shika kiuno na kwa nini wasicheze bila kushikana. Sio malezi mema anyway
 
Wazazi wa dotcom kazi tunayo, enzi zetu tulikuwa hatuna haya mambo ya birthday party.
 
Kweli bado watoto, walivyopeana nafasi!

Wanaogopa kusogeleana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…