Boyfriend wangu ni mchafu sana

Duh aisee....huyo ni mchafu tu tangu zamani, kama apo yupo peke ake afu umeenda siku ya kwanza umekuta uchafu ivyo..hiyo ni asili yake. Na nyie mnaosema eti kuwa anapimwa km anampnz ya kweli, weee upimwaji gani huo wa kuumizana migongo, mwanaume lzm awe ni muelewa na ni msafi vile vile, km ndani kwake si msf je uko kwny gololi 2 inakuaje?, ..kuna raha yake ya kuwa na mwanaume msafi, huyo mwanaume akikuoa sidhn km atakusaidia ata kufua boksa yake mn ni mvivu...mwanaume smart ata kwake we mwnyw unajckia raha bhn. ..kwa kweli mimi mwanaume mchafu asinifuate kabisa, mana lazm michambo ihusike afu ndo km kupimwa nipate zero alaaaah
 
Siku ukipata muda mvizie, ukiona amezubaa zubaa


Mpige gongo la kichwa alufu muingize kwenye washing machine

Kazi imekwisha😎
 
Wengine ni vichaa jamani,binafsi sijawahi kupitia maisha ya uchafu.
 
Achana Nae.

Mbona Kuna Vijana Wasafi Wengi Tu Kama Kina Ben Kinyaiya, Bob Junior, Ommy Dympoz N.K

Life is full of altenatives, why bother ?
 
Dah sio wote mbona waelewa tupo...
Kwa kweli I don't think if there is anything we can do about it kwa sababu wanaume hawataki kukosolewa wala kuambiwa ukweli na wanawake yaani wameshajiwekea kuwa wao ndiyo wako sawa siku zote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…