Boyfriend wangu ni mchafu sana

Kiumbe wangu Mimi hatujashindwana bado
Huwezi kuwa smart and then umdate mtu wa hovyo, inawezekana vipi?
#kila mtu na size yake
Hii formula ina apply vipi? yaani ukiwa smart basi uta date na mtu smart ati?
 
pesa anakupa au ni mbahili kama mimi?

Mbahili sana. analipwa pesa nyingi 1m+ kwa mwezi mimi hanipi lakini haishi kulalamika hana pesa. Two weeks after payday ataanza kulia lia hana hela. nishamwambia asinisumbue. Hao anaowapa wamsaidie akiishiwa.
 
Wasioelewa wanaweza kukuona wewe ni mbaya, lakini ni kazi sana, kuishi na mwanaume mchafu alaf tena ni mbishi, aisee yataka moyo tena wa chuma
 
huu mchango wako unaenda badiri maisha yangu maana nimekuwa na uvivu wa kibwege sana hadi kuacha dili za maana bila ya sababu maalumu
 
Hebu njoo ujaribishie na kwangu kwa mwezi mmoja hivi, halafu urudishe hapa mlisho-nyuma.
 

BINTI nimeona umesema pia "He's a good guy"
Kwa comment hiyo naamini moyo wako haujachoka wala akili yako haina maamuzi
Nikuambie tuu tabia ni kama ngozi.... jitahidi usije na post ingine baada ya miaka miwili ukisema mmezaa mtoto tayari ila ni mchafu na amekushinda
 
Endelea na Utaratibu wa kumuelekeza atabadilika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…