Boy!! Usijali uongo ni silaha tosha ya kumpata.

Nikhil

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2013
Posts
361
Reaction score
120
Wana Jf habari zenu wote na wanaofunga mwezi mtukufu poleni na swaumu! Ila mwisho wa siku tukaribishane on IDD bhana. Wakuu juu ya uzi huu sijakurupuka ila ni kitu nilichokifanyia uchuguzi . Nimegundukua kuwa silaha kubwa kwetu wavulana katika mchakatro mzima wa kuwatongoza maduu ni Uongo . Nimegundua kuwa wasichana wengi hata awe mgumu au hata katika levels gani kielimu ukitumia uongo yakiwemo maneno ya uongo ya kumsifia huku ahadi kibao usizozitimiza huto I swear UMEMMEGA.
 
Kwahiyo umeishagundua pia udhaifu wa mama yako na dada zako?
 
Huu sasa ukorofi,mm nasemaga kama mada huwezi kuchangia ni bora uondoke kimya kimya kuliko kutoa maneno ya kashfa,kwan yeye kamtaja mama dada au mkeo?hayo ni maono yake inawezekana hata wewe uliowahi kuwapata uliwaongopea!!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Hujadanganya ni ukweli mtupu,that formula applied by all playboyz like mwekundu

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Huu sasa ukorofi,mm nasemaga kama mada huwezi kuchangia ni bora uondoke kimya kimya kuliko kutoa maneno ya kashfa,kwan yeye kamtaja mama dada au mkeo?hayo ni maono yake inawezekana hata wewe uliowahi kuwapata uliwaongopea!!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

mama, dada na mke ndio wanawake, huwezi kuzungumzia wanawake halafu hao ukawatoa.
 
Huu sasa ukorofi,mm nasemaga kama mada huwezi kuchangia ni bora uondoke kimya kimya kuliko kutoa maneno ya kashfa,kwan yeye kamtaja mama dada au mkeo?hayo ni maono yake inawezekana hata wewe uliowahi kuwapata uliwaongopea!!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Kumbe inauma Eeeee! Basi na ww usidanganye dada za watu
 
wengine ukizungumza uongo anakuangalia tu mpaka unamaliza harafu anakuuliza una sh ngap
 
Truth can be boring sometimes
wasichana no wanapenda hayo maneno mengi
wanawake wanaojitambua the fewer words the more the chance
 
unaanza nn broo..unashtukia shuka wakat kumekucha...
 
Huu sasa ukorofi,mm nasemaga kama mada huwezi kuchangia ni bora uondoke kimya kimya kuliko kutoa maneno ya kashfa,kwan yeye kamtaja mama dada au mkeo?hayo ni maono yake inawezekana hata wewe uliowahi kuwapata uliwaongopea!!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Mwekundu uneonaeeee......!
Yale yaleeee.......!
 
unaitwa uongo na kweli lakina unalipa mjin,Even mathematics knows.False implies False =True,False implies True =True, True implies True =True. but True implies False =False.
 
Wana Jf habari zenu wote na wanaofunga mwezi mtukufu poleni na swaumu! Ila mwisho wa siku tukaribishane on IDD bhana. Wakuu juu ya uzi huu sijakurupuka ila ni kitu nilichokifanyia uchuguzi . Nimegundukua kuwa silaha kubwa kwetu wavulana katika mchakatro mzima wa kuwatongoza maduu ni Uongo . Nimegundua kuwa wasichana wengi hata awe mgumu au hata katika levels gani kielimu ukitumia uongo yakiwemo maneno ya uongo ya kumsifia huku ahadi kibao usizozitimiza huto I swear UMEMMEGA.

Na hawa wa JF nao wanakamatika kwa njia hiyo hiyo?
Copy: Nivea
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom