Boxing.... Manny Pacquiao vs Juan Manuel Marquez live from USA.

Mpambano kama huu ukiweka akiana mada maugo na jamaa zake anaweza kukimbia ulingoni jamaa wako technic sana

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
 
Jamani thi is war! yaani hadi mwili unanisisimka....inaingia round ya 5 sasa
 
PAC man anaelekea kumaliza pambano kwa nok out hapa....jamani hii ni vita

wanaingia round ya 6 sasa
 
Asante mkuu kwa kutushtua, naangalia live sasa channel 2 ya DSTV!!!!

Tiba
 
Huwezi amini bingwa kapigwa round ya 6....duuh inasikitisha sana. Kaumizwa vibaya sana!
 
Jamani tupeni hayo manewz vp round ya 7 bado?

Huyu Marquez kama namkumbuka vile anakuwaga matata kweli!
 
Mchezo kwisha, jamaa kalabishwa chini kwa ngumi moja nzito kabisa!!!!

Tiba
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom