Boxing.... Manny Pacquiao vs Juan Manuel Marquez live from USA.

Boxing.... Manny Pacquiao vs Juan Manuel Marquez live from USA.

Duu! Pac man kaonja chini....kwahakika mpambano ni mkali sana
 
Mpambano kama huu ukiweka akiana mada maugo na jamaa zake anaweza kukimbia ulingoni jamaa wako technic sana

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
 
Jamani thi is war! yaani hadi mwili unanisisimka....inaingia round ya 5 sasa
 
Juan marquez nae kalamba chini....hii ni vita jamani
 
PAC man anaelekea kumaliza pambano kwa nok out hapa....jamani hii ni vita

wanaingia round ya 6 sasa
 
Asante mkuu kwa kutushtua, naangalia live sasa channel 2 ya DSTV!!!!

Tiba
 
WHAT A RD 5!! Marquez goes down, incredible action
 
Looks like Marquez nose is busted in rd 6
 
PAC man chini.....pambano limeisha. Ni nok out hapa
 
Pacquiao just KNOCKED DEAD in the 6th round. Oh my
 
Huwezi amini bingwa kapigwa round ya 6....duuh inasikitisha sana. Kaumizwa vibaya sana!
 
Jamani tupeni hayo manewz vp round ya 7 bado?

Huyu Marquez kama namkumbuka vile anakuwaga matata kweli!
 
Mchezo kwisha, jamaa kalabishwa chini kwa ngumi moja nzito kabisa!!!!

Tiba
 
Pacquiao is still down

sasa nani mshindi? inamaana japo sasa ni saa3 asubui, bado kalala kwa iyo ngumi moja, mm asijekututoka maana kaaidiwa miela km $30milion, mmm mmetuacha hewani jamani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom