BOXING: Klitschko Vs Derek Chisora.

asante chisora kwa kulitemea mimate liguruwe

Hivi huyu Chisora ana matatizo gani ? Sasa kaanzisha ugomvi na David Hayes yule mwingereza mwenzake.. Katoka kwenye press conf baada ya kuchapwa kaenda kumvamia Hayes mpaka wameamuliwa... Sasa hivi kashikiliwa na German Police... Huyu akapimwe akili sio mzima..
 
asante chisora kwa kulitemea mimate liguruwe

Tuwe makini na comment zetu. Siku chache zilizopita tulikuwa pamoja kupinga ubaguzi ambao Luis Suarez aliuonyesha kumuelekea Patrice Evra.Inakuwaje leo tunafurahia hili tukio?? Where is our sportsmanship?? Au kwa sababu ni mtu mweupe kafanyiwa hivyo??
 
wewe saint acha huo usuarez wako sisi tukiwaita nguruwe halafu wao watuite masokwe tusilalamike
 
Tuwe makini na comment zetu. Siku chache zilizopita tulikuwa pamoja kupinga ubaguzi ambao Luis Suarez aliuonyesha kumuelekea Patrice Evra.Inakuwaje leo tunafurahia hili tukio?? Where is our sportsmanship?? Au kwa sababu ni mtu mweupe kafanyiwa hivyo??

Isitoshe kuhusu Evra yalisemwa tuu maneno kulikuwa hakuna ushahidi yanikifu... Ila kuhusu huyu Dogo kumtemea mate na kumchapa kibao huyu mzungu kitendo kilichoonyeshwa na TV zote then wewe unakuja na comments zako za kibaguzi, kijinga na kitoto... Oooh God,
 
Saint Ivuga ni member mzoefu na muelewa hajafikia level ya kuwa na mambo ya kijinga na kitoto atakuwa ameshaona mahali alipoteleza kidogo.
 
Back
Top Bottom