boxing day

shansarie

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2013
Posts
5,690
Reaction score
3,370
x mass inakuja wale wanaume kwa wanawake mlio zoea kupewa tu na nyie mjifunze kutoa jamani
hata kizawadi kidogo kwa mwenzi wako au nduguyo mara moja kwa mwaka sio mbaya acheni uchoyo.
inapendeza na kufurahisha atakukumbuka pia ktk maisha yake si lazima ukanunue magold na madiamond platnum
hata hii inafaa


figganigga Judgement mwallu Lady doctor Mamndenyi kiwatengu Heaven on Earth Passion Lady Baba V Excel Munkari watu8 Mr Rocky Erickb52 The secretary Valentina farkhina kabanga Chocs Arushaone chama na wengine wote
 
Last edited by a moderator:

namngoja nun wangu mwallu aje!!

sijui wamempeleka parish gani leo? MMU au?

by the way, nina kizawadi kidogo tu kwake!

in and out to the parish!
 
Last edited by a moderator:
shansarie
Hii zawadi ya mkungu wa ndizi mpenzi huyo Somalia? Mimi nimeshampa Mamndenyi moyo wangu sasa sijui kama kuna zawadi inayozidi hiyo vingine ni kujaziajazia!
 
Last edited by a moderator:
shansarie
Hii zawadi ya mkungu wa ndizi mpenzi huyo Somalia? Mimi nimeshampa Mamndenyi moyo wangu sasa sijui kama kuna zawadi inayozidi hiyo vingine ni kujaziajazia!

Vyakujazia navyo vinaumuhimu wake chama usimzeeshe mama yangu Mamndenyi kumlaza njaa ukidai umempa moyo atakula huo moyo wako?
 
Last edited by a moderator:
kweli dada angu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…