Boxing clubs ndani ya dar es salaam

Boxing clubs ndani ya dar es salaam

martial arts

Senior Member
Joined
Jun 26, 2014
Posts
191
Reaction score
100
Habari zenu wakuu,
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu,ningependa kujua ni maeneo gani hapa dar es salaam ambapo kuna boxing club nzuri,au kuna mwalimu mzuri wa mchezo wa boxing(masumbwi).
ikiwa mitaa iliyo kati ya mji itapendeza zaidi,nawasilisha.
 
Njoo M/nyamala Nakoz Boxing club, km unamfahamu mwalimu aliewaibua na kuwanyanyua Dullah Mbabe,marehem Mashari nk ndie kocha mkuu.
 
Njoo M/nyamala Nakoz Boxing club, km unamfahamu mwalimu aliewaibua na kuwanyanyua Dullah Mbabe,marehem Mashari nk ndie kocha mkuu.

Dulla mbabe huyu huyu aliyesema boxers wa Tanzania wasithubutu kwenda kupigana Rusia na Kazakhstan
 
Back
Top Bottom