Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,744
- 25,426
MasterclassView attachment 1953029
Gaidi huyu ana roho mbaya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MasterclassView attachment 1953029
Joshua amechezea sana kichapo.
Hata mie naona hivyo. Huyu jamaa huwa akikosa KO za mapema ujue anapigwa. Kati ya mapambano 25 ameshinda 24 na kati ya hayo 22 ni TKO/KO
Ha ha haNimefurahi mno mno kachapwa. Waokrania co wa mchezo mchezo.
Aj abadilishe kocha
Usky ni bondia mzuri lakini kwa upande wangu hajafika level ya vladimir klitchkoMusilete visingizio bwanawee, kila mtu na mbabe wake. Wewe unawachukuliaje waukrain na warusia? Amekutana na mbabe wake.
Saafi sana kadundwaa.
Usky ni bondia mzuri lakini kwa upande wangu hajafika level ya vladimir klitchko
Aise nimekutumia leo hivi app, iko vyema mno.Live Football Streaming HD
Download hiyo App hutojuta imetulia sana ndio naangalia hapa.