Boxer zako hizi hapa zimekauka

MIGUGO

JF-Expert Member
Dec 3, 2011
2,137
3,931
Tangu mvua zikiendelea kunyesha demu wa jamaa ambaye mjamzito haachi kunianulia boxers zangu huku akiwa anazinusa kwa hisia kama anasinzia.Utasikia "boxers zako hizi hapa" huku akiwa anapiga pafu kadhaa akismile na kufumba macho.

Ajabu ni kwamba nguo zingine haanui huwa nazikuta bado mbichi wakati nina mashat na vest ambazo ni nyepesi kukauka kama boxers.

Jamaa hamkataz mama kijacho wake kamuangalia tu.Aisee nimeona noma kichizi maana hadi watu wengine wameona akizinusa kwa hisia.
 
Mshkaji anakulia timing tu kwakua mkewe ni mjamzito, akijifungua ananoa panga. Jiandae kukatwa 'kaoshi' a.k.a 'car-wash'
 
Back
Top Bottom