sawa!sawa!napenda kuvaa sana haswaa wikend nazurura nazo ndani
ninayo moja tu imeanza kunibana nataka ntingine inayopwaya pwaya sipendi kubanwa
yaani inakuwa inakushika kimtindo sio ina tait sana basi ile kama jmosi na jpili hutoki unazunguka nayo tu ndani
au ukitoka job jion
we wa kike au wa kiume?
msichana